Moto Wateketeza Ofisi ya Ofisa Mtendaji Ubungo

Moto Wateketeza Ofisi ya Ofisa Mtendaji Ubungo    Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Saranga, Ubungo, jijini Dar es Salaam,  imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, huku baadhi ya mali na nyaraka za serikali zilizokuwemo zikiteketea.

Kwa mujibu wa wahusika, chanzo  cha moto huo hakijajulikana lakini juhudi zinaendelea kumpata mtendaji wa kata hiyo ili kujua hasara iliyotokana na moto huo na ni vitu au mali gani zilizokuwemo katika ofisi hiyo.

Muonekano wa ofisi ya Mtendaji Kata ya Saranga Ubungo iliyotekelezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Comments

Popular posts from this blog

Waigizaji 10 wa kike wenye damu ya Afrika wanaong’aa Hollywood Marekani

Tanzia: Mbunge wa Songea Mjini Gama Kuzikwa Kijijini Kwao Likuyufusi

Dogo Aslay Hizi Sasa Sifa Zimezidi Kipimo..Umetuzalilisha Wanawake